Tuesday 9 February 2016

Wachezaji wa timu ya taifa ya CONGO DRC wanaocheza ligi za ndani wamepewa zawadi ya magari yenye thamani ya dola 60000 za kimarekani $60000 kila mmoja baada ya kutoa ubingwa wa CHAN.Zawadi hiyo wamwepewa kama motisha baada ya kuwafunga Mali 3-0 mjini kigali Rwanda.

No comments:

Post a Comment