Friday 12 February 2016

Mashabiki wa Wema wambwatukia Ney wa Mitego

Hali sio shwari.Mashabiki wa Wema Sepetu wamshambulia Ney wa Mitego mitandaoni.Hii ni baada ya Ney wa mitego kutoa wimbo wake mpya unaoitwa SHIKA ADABU YAKO... Mashabiki hao wametumia maneno makali ambayo hayafai kuandikwa na wengine kuweka picha za Ney zilizofanyiwa "Edit".kumbuka hii ni part 2 ,part 1 ilikuwa kati ya Ney na Ommy Dimpoz. Tunasubiri part 3.stay...close

No comments:

Post a Comment