Wednesday 11 May 2016

IJUE NYOTA YAKO NA TABIA ZAKE


Unajimu au astrolojia ni elimu juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha ya binadamu duniani. Wanazuoni wa unajimu wanaeleza ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio kama amani, vita au maafa. Mahusiano haya hayajaweza kuthibitishwa na sayansi ya fizikia au sayansi nyingine. Alama za nyota 12 ni msingi wa falsafa hii ya unajimu.
Astrologia imekuwa ikitumika kwa miaka mingi lakini siku zote imekuwa ikipata upinzani mkubwa toka kwa wana sayansi.
Astrolojia ina misingi tokea enzi za zamani wakati sayansi ilipokuwa ya chini na imani za kiroho na kiungu zikiwa za kiwango cha juu katika jamii nyingi.
Baadhi ya tafiti zilizofanywa kuchunguza usahihi wa astrolojia unaonyesha kuna usahihi wa asilimia kama 3o tu. Hii si haba,kuna ukweli basi katika hili japo bado kuna upinzani mkubwa toka katika ulimwengu wa sayansi ya kisasa.
[Soma pia: Madhara ya Mwezi Katika Hisia na Tabia za Binadamu:Kuna Ukweli? , Nyota na Kazi Zenye Mafanikio ]
Tabia Za Watu Na Alama Za Nyota
Alama za nyota zinabashiri tabia na haiba ya binadamu katika dunia. Mpangilio au nafasi ya sayari katika mzunguko wake angani unaaminika kuleta athari kwa binadamu na matukio katika dunia.
Kuna alama 12 za kiastrolojia. Kila moja ina mvuto wa nguvu wa kipekee toka katika nyota.
Alama hizi ni kama ifuatavyo:

1. Samaki (Pisces):Feb 19 – Machi 20
2. Kondoo (Aries): Machi 21 – Aprili 19
3. Ng’ombe (Taurus): Aprili 20 – Mei 21
4. Mapacha :(Gemini ): Mei 22 – Juni 20
5. Kaa(Cancer): Juni 21 – Julai 22
6. Simba (Leo): Julai 23 – Agosti 22
7. Mashuke (Virgo):Agosti 23 – Sept 22
8. Mizani (Libra): Sept 23 – Okt 22
9. Ng’e (Scorpio): Okt 24- Nov 21
10. Mshale (Sagittarius): Nov 22- Des 21
11. Mbuzi (Capricorn):Des 22 – Jan 19
12. Ndoo (Aquarius):Jan 20 – Feb 18

Makundi Ya Alama Za Nyota:
Alama hizi 12 za nyota zinagawanyika katika elementi 4 zijulikanazo kama:
Moto: Yenye matamanio ya mafanikio au makuu,dadisi
Maji: Yenye kubadilika na yenye uwezo wa ufahamu wa ndani
Hewa: Imara na yenye kukuza au kuendeleza
Udongo: Yenye elimu au uwezo wa kutambua na yenye kuhamasisha
Hizi ni elementi nne zinazoongoza astrologia. Kila kimojawapo kinabeba tabia fulani.

Alama hizi 12 za nyota zimegawanyika kama ifuatavyo:
Moto : Kondoo, Simba,Mshale
Maji: Ng’e, Samaki, Kaa
Hewa: Mapacha, Mizani, Ndoo
Udongo: Ng’ombe,Mashuke,Mbuzi

ZIFUATAZO NI NYOTA MBALI MBALI NA TABIA ZAKE







SHARE KADRI UWEZAVYO NDUGU. .ASANTE KARIBU TENA KWA HABARI ZA KIPEKEEE

12 comments:

  1. Naomba kujua namba ya bahati ya nyota ya samaki na nikazi gani akifanya atapata mafanikio. Asante

    ReplyDelete
  2. Je inahusianaje kwenye nyote kwa kuangalia m2 tare yake yakuzaliwa na herufi ya yakwanza ya jina lake xx apo m2 sianakua na nyota mbili naombeni mnisaidie

    ReplyDelete
  3. Asante inasaidia kweli katika utambuzi wa maisha yetu

    ReplyDelete
  4. Nashukuru Sana kwa Elimu hi naomba kufahamu kazi anazopaswa kufanya mwenye nyota ya mbuzi

    ReplyDelete
  5. Naomba kuuliza nipewe majibu tafadhali

    ReplyDelete
  6. Jina Zephania na Suzan yanaendana kwa watu Hawa kimafanikio?

    ReplyDelete