Friday 12 February 2016

Rais Magufuri ahaidi makubwa

Rais John Pombe Magufuri ametoa maneno mazuri ambayo kwa namna moja au nyingine yatakuwa chachu ya kuwapa matumaini watanzania wote.Ameyasema hayo wakati akitimiza siku 100 mjengoni. ""Ndugu zangu Watanzania, najua maisha mnayoishi, taabu mnazozipata na matarajio yenu kwangu. Vilio vyenu ninavisikia na ninavifanyia kazi. Lengo langu ni kuwatoa katika UMASIKINI....sitowaangusha"---Rais John Pombe Magufuli."

2 comments:

  1. Uko Vizuri mr. Michaele hivi nikitaka kuwa na blogs yangu nafanyaje nataka nikuone pia nataka data base yangu

    ReplyDelete
  2. Poa poa mkuu kuna vitu naweka sawa tutahabarishana zaidi

    ReplyDelete