Habari zote kali za town,music,michezo,burudani,siasa na mambo yote yanayohusu jamii kwa ujumla kama mavazi na mitindo mbalimbali..HAPA NDO KWAO.
Thursday, 11 February 2016
Jionee hatari mbalimbali zilizoletwa na mvua ya jan...hatari tupu
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hapa nchini,zimesababisha uharibifu mkubwa sana hasa katika maeneo ya mabondeni.Wakazi wa mabindeni na wale wanaoishi kwenye mikondo au njia asili za maji wamehimizwa kuhama maeneo hayo kuepukana na hatari mbali mbali zinazoweza kuwakumba za uharibifu wa nyumba,mali na hata kupoteza maisha.Je ni jukumu la serikali au wananchi kuchukua hatua?
No comments:
Post a Comment