Habari zote kali za town,music,michezo,burudani,siasa na mambo yote yanayohusu jamii kwa ujumla kama mavazi na mitindo mbalimbali..HAPA NDO KWAO.
Friday, 12 February 2016
Diamond Platinumz azidi kuonesha njia music wa Bongo flava
Diamond platinumz azid kuwatia moyo wasanii wenzie.Amepania sasa kuupeleka music pendwa wa kitanzania america na asia baada ya kuliteka soko la afrika.haya ni maneno yake Diamond platinumz aka Chibu Dangote...
"Kama nlivyowaahidi wadau Kuwa Mwaka huu mbali na kukazia soko la Africa ila target ni kuhakikisha mziki wetu unaingia vizuri Kanda za Afrika ya kusini na America kama tulivyofanikisha Afrika Magaharibi na nchi zingine za Africa!...Naamini kwa Juhudi na Baraka za mwenyez Mungu tutalifanikisha hili... Mungu ibariki Bongo flavour!! #MakeMeSing AKA x DIAMOND https://youtu.be/m2Ogjumlcm0"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment