Monday 15 February 2016

Big G ya Sir Alex Freguson yanunuliwa kwa zaidi ya bilioni moja ya kitanzania

Wakati familia kibao za kimasikini duniani zinashindwa japo kupata mlo mmoj kwa siku,watu wanafanya kufuru ya pesa duniani.Ile BIG G aliyoitafuna aliekuwa kocha wa manchester united Sir Alex Ferguson katika mechi yake ya mwisho kuifundisha kilabu hiyo,imeuzwa kwa bei ya kufuru sana.
Big G hiyo imeuzwa kwa bei ya $640,000 ambzo ni sawa na Tshs 1,536,000,000 na zaidi.Hii ndo itakuwa Big G ya gharama zaidi duniani.Swali..je alienunua anakwenda kuila????????

No comments:

Post a Comment