Friday 12 February 2016

Hatari sana hii Niva nae aamua kumtolea uvivu Ney wa mitego

Baada ya Niva kuchanwa mbaya kwenye nyimbo mpya ya Ney wa mitego nae aamua kumtolea uvivu Ney kwa kumuandika vibaya kupitia ukurasa wake wa instagram...maneno ni haya hapa chini

"“3Jioni ya Leo ndio watu watajua. Kama natafuta Kiki kwako au wewe @naytrueboy umeamua kuipata Kiki kwangu coz ney watu wameanza kukujua 2013… mimi watu wameanza kunijua tangia elfu mbili na sita kupitia tamthili ya jumba la dhahabu kipindi hiko wewe upo manzese unatafuta kutoka.. mwenzio nikitajaga tamthili ya jumba la dhahabu uwa nawaumizaga watu wengi Sana coz uwa nawakumbusha kumbukumbu za maisha Yao ya kipindi icho wengine wenzao wamesha wazika walio kua wakiangalia nao. Sasa wewe @naytrueboy unakipi cha kuwakumbusha mashabiki zako.” Kisha akaweka picha akweka picha hiyo hapo juu akiwa na Nay na kuandika; “Sasa mkitazama iyo picha mtangundua ni wiki ngapi zimepita na hapo mulizeni alikua wapi na kwanani na alifata nini Tena alikua anajipima mwili wake na wangu… niliwai kusema kuwa ni mdogo wangu kwaiyo kwangu yameisha nanimemsamee coz ni mdogo wangu ila kuusu kumuigiza na yeye kupo pale pale nimesha maliza kutoka moyoni”

No comments:

Post a Comment