Monday 15 February 2016

Mwanaume anaedhaniwa kuwahi kumiliki wake wengi zaidi duniani


Add caption

Sambaza UPENDO
Mwanaume mmoja nchini nigeria anasemekana kuwa ndiye mwanaume ambaye aliwahi kuwa na wake wengi zaidi duniani.Alifanikiwa kuwa na wake 107 na watoto 165.
Mwanaume anajulikana kwa jina la Bello Maasaba ni muumini wa dini ya kiislamu ambaye aliwahi kuambiwa aacha wakeze wengine na abaki nao wanne kwa mujibu wa sheria za dini ya kiislamu lakini aligoma.
Akiulizwa na gazeti moja nchini Nigeria kwa nini ana wake wengi hivyo alijibu
        "Nilikuwa napokea ufunuo toka kwa Mungu kunionesha kila mwanamke wa kuoa..kama isingekuwa hivyo nisingeoa zaidi ya wake wawili."
Alikuwa anamiliki nyumba yenye vyumba 89 na familia yake ilijumuisha watoto,wajukuu,binamu,wajomba na kila aina ya ndugu na kukamilisha watu zaidi ya 5000.


Kwa hisani ya newsone.com

No comments:

Post a Comment