









Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hapa nchini,zimesababisha uharibifu mkubwa sana hasa katika maeneo ya mabondeni.Wakazi wa mabindeni na wale wanaoishi kwenye mikondo au njia asili za maji wamehimizwa kuhama maeneo hayo kuepukana na hatari mbali mbali zinazoweza kuwakumba za uharibifu wa nyumba,mali na hata kupoteza maisha.Je ni jukumu la serikali au wananchi kuchukua hatua?
No comments:
Post a Comment